JIPATIE FEDHA KWA KUDADISI MJI WAKO
Premise inasaidia mashirika ya kijamii, serikali na taasisi zisizo za kiserikali kupata majibu juu ya maswali muhimu. Kwa kukamilisha tasks, unaweza kusaidia makundi haya kufahamu idadi ya vituo vya afya vilivyopo mjini mwako, maboresho ya miundombinu yanayohitajika au bei za aina flani za bidhaa madukani.

Lipwa kwa kupiga picha na kujibu maswali

Tumia ujuzi ulionao wa mji wako kusaidia kuboresha jamii yako

Jiunge na mtandao wa kimataifa wa wachangiaji zaidi ya laki tano wa Premise, waliopo ndani ya nchi zaidi ya 50
JINSI INAVYOFANYA KAZI

Pakua app ya Premise na tengeneza akaunti.


Pakua app ya Premise na tengeneza akaunti.
Ingiza maelezo yako ya malipo.



Ingiza maelezo yako ya malipo.

Kamilisha task yako ya kwanza.


Kamilisha task yako ya kwanza.
Pindi utakapo kamilisha task za kutosha, utaweza kutoa mapato yako.


